iqna

IQNA

ayatullah khatami
Sala ya Ijumaa Tehran
TEHRAN (IQNA)- Khatibu wa Sala ya Ijumaa iliyoswaliwa hapa Tehran hii leo amesema matembezi ya Arubaini ya Imam Hussein (AS) ni zoezi la kimaanawi la aina yake na lisilo na mfano.
Habari ID: 3477604    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/09/15

Khatibu wa Sala ya Ijumaa Tehran
TEHRAN (IQNA)- Khatibu wa Sala ya Ijumaa iliyosaliwa leo hapa mjini Tehran amesema kuwa, timu ya Iran katika mazungumzo ya nyuklia katu haitalegeza msimamo mbele ya adui ili taifa hili liondolewe vikwazo vya kidhalimu vya Marekani.
Habari ID: 3475682    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/26

Sala ya Ijumaa Tehran
TEHRAN (IQNA0- Khatibu wa Sala ya Ijumaa iliyoswaliwa leo hapa Tehran Ameashiria ujumbe muhimu wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa Mahujaji wa Nyumba Tukufu ya Mwenyezi Mungu na kubainisha kuwa, "Nguzo mbili muhimu za ibada ya Hija ni Dhikr (kumtaja/kumdhukuru Allah) na umaanawi.
Habari ID: 3475477    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/07/08

TEHRAN (IQNA)- Khatibu wa muda wa Sala ya Ijumaa ya hapa jijini Tehran amesisitizia wajibu wa kujitokeza kwa wingi wananchi wa Iran katika maandamano ya Siku ya Kimataifa ya Quds ambayo ni Ijumaa ya mwisho ya mwezi mtukufu wa Ramadhani na kusema kuwa, maandamano hayo yanamtia kiwewe adui.
Habari ID: 3475153    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/04/22

Khatibu wa Sala ya Ijumaa Tehran
Khatibu wa Sala ya Ijumaa mjini Tehran amesema a uungaji mkono madola ya Magharibi kwa mashambulizi ya ndege za kivita za Saudia huko Yemen, ndiyo sababu ya kushadidi mgogoro na kuuliwa raia wasio na hatia.
Habari ID: 3470612    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/10/14

Khatibu wa Saala ya Ijumaa Tehran
Khatibu wa Saala ya Ijumaa Tehran amesema Siku ya Kimataifa ya Quds ni hatua kubwa kupambana na uistikbari na adui Mzayuni aambaye ndiye adui mkuu wa Uislamu.
Habari ID: 3470426    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/07/01